
Kipa Berkane aichimba mkwara Simba
KIPA wa RS Berkane ya Morocco, Munir El Kajoui amesema kikosi chao kimetua Tanzania kwa kazi moja tu – kuhakikisha kinakamilisha kile walichokianza kwenye mechi ya kwanza ya fainali dhidi ya Simba SC wikiendi iliyopita, nchini kwao. Akizungumza kabla ya mazoezi leo, Ijumaa, ikiwa ni siku moja baada ya kikosi hicho kuwasili Zanzibar kwa ajili…