
Nenda Aziz Ki hauna deni Tanzania
MAPEMA tu mwezi ujao hapa kijiweni tutakaa mbele ya runinga kumtazama Stephane Aziz Ki akikiwasha katika Kombe la Dunia la Klabu huko Marekani akiitumikia Wydad ya Morocco. Jamaa wameonyesha jeuri yao ya fedha bwana kwa kumchomoa staa na kipenzi cha Yanga ambaye tayari ameshaondoka Tanzania kwenda Morocco kuungana na miamba ya huko kwa mkataba wa…