MO Dewji atoa kauli nzito Simba

RAIS wa klabu ya Simba, Mohamed ‘MO’ Dewji, ametoa kauli nzito kuhusiana na mechi ya pili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kupelekwa kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, humu akiwahamasisha wanasimba kwamba mnyama atanguruma popote na Jumapili itabeba ndoo. Simba inatarajiwa kurudiana na RS Berkane ya Morocco Jumapili ya Mei 25 baada ya…

Read More

Saa mbili nzito za Fadlu, wachezaji waazimia haya

KIKOSI cha Simba kimeshatinga visiwani Zanzibar tayari kwa maandalizi ya mechi ya pili ya fainali za Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco, lakini kabla ya kuondoka jijini Dar es Salaam kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids amefanya jambo moja na mastaa na kutoa msimamo. Fadlu aliyeweka rekodi ya kuwa kocha…

Read More

Rais Mwinyi aibeba Simba, alipia gharama zote Amaan

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, ametoa zawadi maalum kwa timu ya Simba kwa kugharamia matumizi ya Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja utakaotumika kwa mechi ya fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho la Afrika, itakayofanyika Jumapili, Mei 25, 2025 kuanzia saa 10 jioni. Hayo yameelezwa…

Read More

Simba, Yanga kwenye ligi ya hat trick

LIGI Kuu Bara kwa msimu wa 2024-2025, inaenda ukingoni ambapo hadi sasa zimefungwa hat trick nne kutoka kwa wachezaji wa Simba na Yanga kila mmoja wao, ingawa nyota wa timu hizo wamekuwa ni moto wa kuotea mbali kwa wapinzani. Kwa misimu minne mfululizo kuanzia msimu wa 2021-2022 hadi sasa nyota wa timu hizo ndio wanaoongoza…

Read More

Waarabu waongeza mzigo kwa Mzize, dili lipo hivi

UKIONDOA jina la kiungo Stephanie Aziz KI aliyeuzwa Morocco, staa atakayefuata sasa ni straika Clement Mzize aliyebakiza wiki moja tu kuuzwa moja ya nchi ya Afrika Kaskazini baada ofa mbili kubwa kutua klabuni hapo kwa Waarabu kuongeza dau ili kumng’oa Yanga. Mzize anayemiliki mabao 13 na asisti tatu katika Ligi Kuu Bara kwa sasa amekuwa…

Read More

Chukwu mipango imetimia Singida BS

KIUNGO wa Singida Black Stars, Morice Chukwu raia wa Nigeria, amesema mipango ya klabu hiyo msimu huu inaendelea kutimia, huku akipiga hesabu za kimataifa mapema. Huu ni msimu wa pili Chukwu anacheza soka nchini Tanzania akitokea Rivers United ya Nigeria ambayo msimu wa 2022/23 ilicheza dhidi ya Yanga hatua ya robo fainali ya Kombe la…

Read More

Sillah limebaki bao moja Ligi Kuu

LIMEBAKIA bao moja ili itimie ndoto ya mshambuliaji wa Azam FC, Gibril Sillah anayetamani amalize msimu kwa mabao kuanzia 10, anaamini katika mechi mbili zilizosalia dhidi ya Tabora United na Fountain Gate linaweza likatokea hilo. Sillah ambaye msimu uliopita alimaliza na mabao manane kwa  sasa anamiliki mabao tisa, alisema mechi za mwishoni zimekuwa ngumu, lakini…

Read More

Coastal Union yashtukia ishu ikijiandaa lala salama

BENCHI la ufundi la Coastal Union, limeshtukia jambo baada ya kuamua kuwaita wachezaji wote kambini Jumatatu, tayari kwa maandalizi ya mechi mbili zilizosalia za kufungia msimu zitakazopigwa Mkwakwani, jijini Tanga. Coastal inayoshika nafasi ya 10 kwa sasa ikiwa na pointi 31, imesaliwa na mechi dhidi ya Fountain Gate na Tabora United, iliwapa mapumziko wachezaji, lakini…

Read More