
Kilichomkuta Feitoto Azam FC | Mwanaspoti
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ameuanza vibaya mwaka huu wa 2025 tofauti na uliopita baada ya kutofunga bao lolote katika Ligi Kuu hadi sasa, licha ya kuasisti mabao manne kati ya asisti zake 13 akiwa kinara. Fei Toto ndiye mchezaji aliyefanya vizuri zaidi kwa mwaka 2024, ambapo kiungo huyo alichangia mabao…