
Mavitu ya Hasheem Thabeet gumzo BDL
UNAAMBIWA tayari Hasheem Thabeet, yule nyota wa kikapu wa kimataifa wa Tanzania anafanya vitu vyake katika michuano ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), lakini gumzo kubwa ni ubora anaouonyesha. Lakini, mbali na ubora wa staa huyo aliyewahi kukipiga katika ile Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) ambako kuna mastaa kama LeBron James,…