
Kete ya mwisho WPL leo, matokeo kuamua bingwa
MZUNGUKO wa mwisho wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) msimu wa 2024-2025 unahitimishwa leo Mei 20, 2025 kwa mechi tano kuchezwa huku Mlandizi Queens na Gets Program zikiwa tayari zimeshuka daraja. Katika kuhitimisha msimu, michezo miwili ambayo Gets Program dhidi JKT Queens na Alliance Girls dhidi Simba Queens, itaenda kuamua bingwa wa ligi hiyo kutokana…