
Viwanja vitano kufanyiwa ukarabati kuelekea AFCON 2027
Serikali imethibitisha rasmi mpango wa kujenga na kukarabati viwanja mbalimbali vya michezo nchini, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuandaa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027, pamoja na juhudi za kuendeleza sekta ya michezo nchini. Kauli hiyo imetolewa leo bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro,…