
Mynaco ataja ugumu Ligi ya Wanawake nchini Misri
KIUNGO wa Zed FC inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini Misri, Maimuna Hamis ‘Mynaco’ amesema msimu huu umekuwa bora kwake kutokana na ushindani ulioongezeka kwenye ligi hiyo. Mynaco alijiunga na timu hiyo msimu wa 2023 akitokea Yanga Princess ambayo ilimuuza kwenda nchini Misri. Kiungo huyo wa zamani wa Simba Queens, Yanga Princess na JKT Queens huu…