
Simba yakomaa na hoja 3 nzito CAF
BERKANE: UONGOZI wa Simba baada ya kupata taarifa ya kubadilishwa ghafla kwa uwanja ambao utatumika kwa mechi yao ya nyumbani ya hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane, ulifanya kikao kizito hapa Morocco kujadili jambo hilo. Kikao hicho ambacho kilihusisha pia kupeana taarifa ya maandalizi ya mchezo wa kwanza ugenini…