
Fountain yaziwekea mkakati pointi 6
KIKIOSI cha Fountain Gate chini ya kocha Khalid Adam, leo Jumapili kinarejea kwenye uwanja wa mazoezi kwaajili ya kujiweka tayari kwa dakika 180 zitakazoamua hatma yao. Fountain Gate ipo nafasi ya 14 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kucheza mechi 28 ikifanikiwa kukusanya pointi 29, ina kibarua kigumu kuhakikisha inakwepa mtego wa kucheza…