
Maxime azipigia hesabu dakika 180
KIPIGO cha mabao 5-0 ilichopata Dodoma Jiji kutoka kwa Azam FC ni kama kimemshtua kocha Mecky Maxime, aliyeliambia Mwanaspoti kwamba kwa sasa anajipanga kiufundi ili kukuhakikisha anazitumia mechi mbili zilizosalia ambao ni sawa na dakika 180 kujiokoa kucheza play off. Maxime alisema katika kuhakikisha kila kitu kinakuwa sawa ameamua kutoa likizo fupi ya wiki mbili…