
Simba yaanza mambo, Fadlu akitaka usiri
KIKOSI cha Simba kimefanya mazoezi ya kwanza nchini Morocco baada ya kuwasili jana Alhamisi asubuhi. Mazoezi hayo yamefanyika kwenye viwanja vya Mazgan katika mji wa Jadida. Wachezaji wote waliosafiri katika msafara wa Simba kuja Morocco wameshiriki katika mazoezi hayo. Kabla ya mazoezi hayo kufanyika, kocha Fadlu Davids alitoa agizo la kuzuia waandishi wa habari na…