
WMA YAHAKIKI VIPIMO ASILIMIA 99 YA LENGO
Veronica Simba – WMA Serikali kupitia Wakala wa Vipimo (WMA) nchini imekagua na kuhakiki vipimo 1,013,859 ambavyo ni sawa na asilimia 99.2 ya lengo la kukagua vipimo 1,022,342 katika mwaka wa fedha 2024/2025. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amebainisha hayo bungeni Dodoma leo, Mei 14, 2025 wakati akiwasilisha hotuba ya makadirio ya…