
Pamba Jiji yaishusha rasmi Kagera Sugar ikiongeza presha Ligi Kuu
Wakati Pamba Jiji ikichekelea ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KenGold, matokeo hayo yamepeleka kilio kwa Kagera Sugar ambayo imeaga rasmi Ligi Kuu na msimu ujao itacheza Championship. Hata hivyo, licha ya ushindi huo kwa Pamba Jiji, unaongeza vita mpya ya kupambana kukwepa kucheza play off ya kubaki Ligi Kuu baina ya timu hiyo yenye…