MO apigiwa shangwe mkutano Simba
WAKATI wanachama wa Simba wakisomewa ripoti ya mapato na matumizi, wameonyesha kukoshwa na rais wao wa heshima Mohammed Dewji ‘MO’ na namna anavyoipa fedha klabu hiyo. Mhasibu wa Simba Suleiman Kahumbu wakati akisoma ripoti ya mapato ya msimu uliopita amesema MO Dewji alichangia kiasi ha sh 4 Bilioni kwenye majeti yao ya mwaka ujao wa…