
Sadala Lipangile: KenGold bado haijashuka
BEKI wa KenGold, Sadala Lipangile amesema pamoja na timu hiyo kushuka daraja, wachezaji hawajashuka daraja badala yake mechi tatu zilizobaki ndizo za kujitafuta ili waendelee kubaki Ligi Kuu msimu ujao. KenGold ambayo awali ilijulikana kama Gipco FC (Geita) inatarajia kushiriki Championship msimu ujao baada ya kushindwa kubaki Ligi Kuu kufuatia matokeo iliyopata kwa kuvuna pointi…