
Tanzania Prisons, Kagera acha tuone itakuwaje!
UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa mechi mbili kupigwa kwenye viwanja tofauti, huku macho na masikio yakiwa ni kutaka kujua timu gani itaungana moja kwa moja na KenGold kushuka daraja na zile zitakazocheza ‘play-off’ ya kubakia. Mechi ya mapema leo, itapigwa saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya, ambapo wenyeji Tanzania…