
Fadlu, mastaa wapya washtua | Mwanaspoti
SIMBA imewasili nchini alfajiri ya jana Ijumaa ikitokea jijini Cairo, Misri ilikoenda kuweka kambi ya mwezi ili kujiweka zaidi kwa msimu mpya wa mashindano, lakini kuna watu watatu wameshtua ndani ya ujio huo akiwemo kocha mkuu, Fadlu Davids. Msafara huo wa Simba uliwasili ulirejea karibu wote isipokuwa kocha huyo na mastaa wengine wapya wa kikosi…