KMKM yaing’oa AS Port, yatinga raundi ya pili CAF
MABAHARIA wa visiwani Zanzibar, KMKM imekuwa timu ya kwanza ya Tanzania msimu huu kutinga raundi ya pili ya michuano ya kimataifa inayosimamiwa na CAF baada ya jioni hii kuifyatua kwa mara nyingine AS Port ya Djibouti kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa New Amaan, Unguja. KMKM ambao ni mabingwa wa Kombe la Shirikisho Zanzibar na…