
Kipimo cha usajili kipo robo fainali
WAKATI timu zikipambana kutafuta nafasi ya kucheza hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), hali inaonyesha timu itakayotoboa ni ile iliyofanya usajili wa wachezaji wenye viwango vikubwa. Hiyo imetokana na ushindani mkubwa uliokuwepo kwa timu tano, zinazo tafuta nafasi za kucheza robo fainali ambapo Dar City, Jeshi Stars…