Malindi ipo tayari kuivaa Chipukizi ZPL
KIKOSI cha timu ya Malindi, leo kinatarajia kusafiri kutoka Unguja kuelekea Pemba kwa ajili ya kucheza mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) dhidi ya Chipukizi itakayofanyika Septemba 27, 2025, kwenye Uwanja wa Gombani uliopo kisiwani humo, saa 10:15 jioni. Msafara wa timu hiyo utakuwa na watu 32 wakiwemo wachezaji 22, viongozi saba na…