
Abiria wahaha usafiri wa umma Dar, madereva daladala kicheko
Dar es Salaam. Abiria wanaotumia usafiri wa daladala jijini Dar es Salaam, leo wamekuwa katika wakati mgumu baada ya usafiri huo kuwa adimu kutokana na daladala nyingi kukodiwa na makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenda kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho. Kampeni hizo za CCM zinafanyika leo Alhamisi Agosti 29,2025 katika viwanja vya…