Nsajigwa atoboa siri Transit Camp
KOCHA Mkuu wa Transit Camp, Shadrack Nsajigwa amesema kucheza mechi tano ugenini msimu huu bila ya kupoteza ni ishara ya ukomavu kwa wachezaji wa timu hiyo, licha ya ushindani mkubwa wanaoupata kutoka kwa wapinzani mbalimbali. Akizungumza na Mwanaspoti, nyota huyo wa zamani wa Yanga na timu ya taifa ya Taifa Stars, amesema sio rahisi kucheza…