Opah atimkia Ligi Kuu Hispania

MSHAMBULIAJI na nahodha wa Timu ya taifa ya Wanawake, Twiga Stars Opah Clement ametambulishwa kwenye kikosi cha SD Eibar inayoshiriki Ligi Kuu Hispania maarufu Liga F. Ametambulishwa kikosini hapo akitokea FC Juarez ya Mexico aliyoitumikia kwa msimu mmoja akicheza mechi sita kati bila ya kufunga bao wala asisti. Nyota huyo wa kimaaifa wa Tanzania anakuwa…

Read More

Bado Watatu – 10 | Mwanaspoti

NIKAGEUKA na kumtazama mtu huyo aliyekuwa nyuma yangu na kumuuliza. “Ndiye yeye….amepatwa na nini sijui…?” “Inaonekana amejinyonga au amenyongwa.” “Ndiyo maana tangu jana sijamuona. Kumbe…!” Nikageuza uso tena na kuitazama ile maiti iliyokuwa inaning’inia. “Kama si wewe nisingetambua kama yeye ndiye Frank. Huyu jamaa anaishi na nani humu ndani?” “Anaishi peke yake. Aliwahi kuniambia kuwa…

Read More

Vita ya kudanki Ligi ya Kikapu Dar imehamia huku

WAKATI robo fainali ya kwanza ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) ikianza, ushindani umeongezeka tofauti na mechi za mwanzo wa msimu wa mashindano hayo. Robo fainali ya BDL imezoeleka ushindani kuwa wa kawaida, lakini mwaka huu inavyochezwa ni vita na ni kama kombe liko uwanjani. Ally Issa, kocha wa kikapu kutoka…

Read More

Gamondi kuitumia Kagame kunoa makali CAF

KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema mashindano ya Kagame yatamsaidia kuandaa timu shindani kuelekea mechi za ligi na kimataifa. Akizungumza na Mwanaspoti, Gamondi alisema anafurahishwa na mwenendo wa maandalizi huku akidai kuwa wachezaji wake wapo kwenye hali nzuri ya ushindani matarajio yao ni makubwa. “Timu inaendelea vizuri licha ya kwamba sio wachezaji…

Read More

Msuva adai CHAN 2024 ina darasa kali

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva ambaye anacheza soka la kulipwa nchini Iraq katika kikosi cha Al-Talaba SC, ameeleza kuwa mashindano ya CHAN 2024 yataacha somo kubwa kwa soka la Tanzania, ambalo linaweza kuwa msingi wa mafanikio katika mashindano yajayo. Msuva ambaye kabla ya mchezo wa ufunguzi kati ya Taifa Stars dhidi ya Burkina…

Read More

Mambo matatu ya kitasa kipya Yanga

Kuna mambo yataanza kuonekana msimu ujao pale Jangwani, ambapo mastaa kibao wamesajili na kuna dalili kwamba vita ya namba, lakini namna shoo za uwanjani zitakavyokuwa. Lakini, unaposoka hapa elewa kwamba ndani ya kikosi cha Yanga kuna nyota wawili wanaounda ule ukuta wa chuma…

Read More

CHAN 2024: Morocco yaivua ubingwa Senegal

MABINGWA wa kihistoria wa Fainali za Ubingwa kwa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, Morocco wamefuzu fainali ya michuano hiyo kwa kuivua ubingwa Senegal. Katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa leo Agosti 26, 2025 kwenye Uwanja wa Mandela uliopo Kampala nchini Uganda, mikwaju ya penalti 5-3 imetosha kuifanya Morocco kuwa mbabe mbele ya Senegal, timu iliyokuwa…

Read More