
Sillah ashindwa kujizuia kwa Tepsie
WINGA wa zamani wa Azam FC, Gibril Sillah ameshindwa kujizuia na kummwagia sifa nyota wa timu hiyo, Tepsie Evans akisema makali na kipaji kikubwa alichonacho kitakuwa msaada mkubwa kwa kikosi hicho baada ya kuondoka kwake. Azam chini ya kocha Florent Ibenge imekita kambi jijini Kigali, Rwanda kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya na imecheza…