
Bado Watatu – 5 | Mwanaspoti
“SI nimekwambia nina mazungumzo na wewe!” “Kumbe Fadhil hunijui. Nilikuheshimu pale ulipokuwa unaniheshimu. Kama unathubutu kuvunja heshima yangu mbele ya kirukanjia wako yule, nitakuvunjia heshima halafu utaniona mbaya. Mimi sitaki kufuatwa na wewe tena na sihitaji mazungumzo yako.” Bahati njema hapakuwa na watu karibu. Kama wangekuwepo ningekuwa nimeumbuka kutokana na maneno makali niliyokuwa nikiambiwa. Ilikuwa…