
Ligi Kuu Zanzibar kuanza Septemba 20
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), limetangaza kwamba, Ligi Kuu Soka Zanzibar (ZPL) msimu wa 2025-2026 inatarajiwa kuanza Septemba 20, 2025. Ligi hiyo inayoshirikisha timu 16 ambapo 12 za Unguja na 4 kutoka Pemba huku bingwa mtetezi ikiwa Mlandege FC, inatarajiwa kufikia tamati Mei 31, 2026. Wakati ligi ikianza Septemba 20, mchezo wa Ngao…