Phiri aipa ujanja Simba Afrika

SIMBA imetabiriwa inaweza kufanya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, lakini iwapo tu, wachezaji wa timu hiyo watakuwa tayari kupambana kwa jasho na damu wakijengwa na utulivu utayari, uzalendo na kulinda viwango vyao kwa kuzingatia vitu vya msingi. Ujanja huo umetolewa na nyota wa zamani wa kikosi hicho, Mzambia Moses Phiri alipozungumza na…

Read More

Sowah achimba mkwara! Malengo yake balaa

MSHAMBULIAJI wa Simba, Jonathan Sowah usiku wa leo Jumamosi atakuwa bize uwanjani na kikosi cha timu hiyo katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United ya Botswana, huku akitema cheche mapema kwa msimu huu wa 2025-2026. Nyota huyo wa zamani wa Mediama ya Ghana na Singida Black Stars, amejiwekea malengo…

Read More

Yanga mwendo mdundo, yaizima Wiliete kwao

‘NO Aucho No problem!’ Ndivyo mashabiki wa Yanga kwa sasa wanatamba mtandaoni, baada ya kiungo mkabaji, Aziz Andabwile kugeuka lulu kikosini na kuendelea kuwapa raha pale jana alipofunga bao tamu wakati timu hiyo ikiizamisha Wiliete Benguela ya Angola kwa mabao 3-0. Katika mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika…

Read More

ishu ya Fadlu kuondoka iko hivi

BAADA ya dabi kumalizika na Simba kupoteza kwa mara ya sita mfululizo mbele ya Yanga, mjadala mkubwa kwa sasa ni kocha wa Wekundu wa Msimbazi, Fadlu Davids ikielezwa yupo mbioni kupigwa chini, lakini kumbe ukweli wa mambo wala sivyo ulivyo kama ilivyosambaa mtandaoni. Tangu jana jioni kumekuwa na taarifa kwamba huenda Fadlu asirejee na kikosi…

Read More

Ile ishu ya Fadlu kuondoka iko hivi

BAADA ya dabi kumalizika na Simba kupoteza kwa mara ya sita mfululizo mbele ya Yanga, mjadala mkubwa kwa sasa ni kocha wa Wekundu wa Msimbazi, Fadlu Davids ikielezwa yupo mbioni kupigwa chini, lakini kumbe ukweli wa mambo wala sivyo ulivyo kama ilivyosambaa mtandaoni. Tangu jana jioni kumekuwa na taarifa kwamba huenda Fadlu asirejee na kikosi…

Read More

Folz achomoa watatu Angola kikosi cha Dabi 

KOCHA wa Yanga, Romain Folz amefanya mabadiliko ya wachezaji watatu katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo ambacho kitaivaa Wiliete  ya Angola jioni hii huko Luanda, tofauti na kile ambacho kilianza katika Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, Septemba 16. Yanga inatupa karata ya kwanza katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ikisaka…

Read More

Bado Watatu – 33 | Mwanaspoti

HAKUMALIZA sentensi yake akaninyooshea mkono wake na kukikunjua kiganja alichokuwa amekifumba. Akanionyesha kitu alichokuwa amekishika.Kilikuwa funguo ya gari la Shefa!“Hizi funguo ni za gari la Shefa na nimezikuta ndani ya pochi yako humu chumbani.”Mshituko nilioupata ulinifanya nitwete kama niliyekuwa nafukuzwa. Kumbe mume wangu aliichukua ile pochi na kuifungua, ndiyo maana niliikuta kitandani wakati mimi mwenyewe…

Read More

Magori ametoa kauli ya kiuongozi Simba

CRESCENTIUS Magori juzi alitoa kauli ambayo hapa kijiweni tunaamini ndiyo inapaswa kutolewa na kiongozi pindi timu inapopoteza mechi kama ya Jumanne wiki hii dhidi ya Yanga. Amewataka Wanasimba kuwa na utulivu wa hali ya juu katika kipindi hiki ambacho imetoka kupoteza mechi ya sita mfululizo dhidi ya Yanga na katika mechi hiyo ilifungwa bao 1-0….

Read More

Kipa Yanga atimkia Mwanza | Mwanaspoti

KLABU ya Alliance Girls inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), imedaiwa ipo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kipa wa zamani wa Yanga Princess, Husna Mtunda. Kipa huyo aliitumikia Yanga Princess kwa misimu miwili, lakini hakupata nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza mbele ya makipa Mghana Safiatu Salifu na Mnigeria Rita Akarekor kwa sasa…

Read More

Mtego nusu fainali Ligi ya KIkapu Dar

MACHO na masikio ni kwa miamba minne wa Ligi ya Kikapu Dar es Salaam (BDL) na zinasubiriwa mechi za kuamua timu zitakazotinga fainali, huku Dar City ikimenyana na Stein Warriors, huku Pazi ikikipiga na JKT kwa wanaume na kwa wanawake JKT Stars itacheza DB Lioness, huku DB Troncatti ikicheza na Jeshi Stars. Nusu fainali hiyo…

Read More