
Gwalala kutimkia Mbeya City | Mwanaspoti
KIUNGO wa zamani wa Coastal Union, Greyson Gwalala yupo katika hatua ya mwisho kumalizana na Mbeya City iliyopanda daraja kushiriki Ligi Kuu Bara msimu ujao 2025-2026. Gwalala anaungana na Ame Ally aliyetua Mbeya City akitokea Mashujaa, Yahya Mbegu (Singida Black Stars), Habib Kyombo aliyekuwa akiitumikia Pamba Jiji kwa mkopo akitokea Singida Black Stars kama ilivyokuwa…