Siku 637 za Manula, Simba, Yanga zaguswa Bara
KIPA Aishi Manula amerejea uwanjani akiea na jezi ya Azam. Kwa mara ya kwanza kocha Florent Ibenge alimtumia katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa Desemba 3, 2025 dhidi ya Singida Black Stars na jamaa akatoka na clean sheet baada ya timu hizo kushindwa kufungana. Sasa kama hujui ni kwamba mechi hiyo ilihitimisha siku 637…