
McCarthy: Kesho yetu ni bora zaidi
IKISHIRIKI kwa mara ya kwanza michuano ya CHAN 2024, timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars imeishia hatua ya robo fainali huku kocha wa kikosi hicho, Benni McCarthy akisema anaona mambo mazuri zaidi siku zijazo. Kenya iliyokuwa mwenyeji wa michuano hiyo kwa kushirikiana na Tanzania na Uganda, imepoteza mchezo wa robo fainali juzi Ijumaa kwa…