
Mboni Masimba amrudisha jukwaani Bi Mwanahawa Ally
Mkurugenzi wa Kampuni ya Chocolate Princess,Mboni Masimba, amemrudisha jukwaani mkongwe wa Taarabu nchini, Mwanahawa Ally aliyetangaza kustaafu kuimba mwaka jana. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mboni amesema, anatarajia kufanya tamasha la mkesha wa muziki wa taarabu litakalohusisha wakali wasanii wa muziki huo nchini akiwemo Mwanahawa Ally, Agosti 28 kwenye Viwanja vya…