Rasmi mzigo umerudi | Mwanaspoti
ZIMEPITA siku 83 tangu kumalizika kwa msimu uliopita wa Ligi Kuu na leo mzigo umerudi upya ikiwa ni saa 24 baada ya kupigwa kwa mechi ya Ngao ya Jamii iliyozikutanisha Simba na Yanga. Msimu uliopita ligi ilifungwa na pambano la Dabi ya Kariakoo iliyopigwa Juni 25 na leo inaanza kwa mechi mbili zitakazopigwa jijini Dar…