Fadlu aahidi kulipa kisasi kwa Yanga
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema katika mechi ya kesho dhidi ya Yanga, hawana presha kwa sababu tayari wana uzoefu na dabi, huku akiamiani benchi la wapinzani wake litakuwa na kazi za ziada kutokana na ugeni wao. Hiyo ni katika kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii uliopangwa kuchezwa kesho Jumanne kwenye Uwanja wa Benjamin…