
Kiungo Sudan bado haamini kilichotokea CHAN 2024
BAADA ya kufanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mchezo dhidi ya Senegal, kiungo mkabaji wa Sudan, Salah Eldin Adil Ahmed Al Hassan amesema haikuwa rahisi kuwazuia mabingwa watetezi, ila juhudi na kufuata maelekezo ndio siri ya kuambulia suluhu. Salah alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwa sehemu ya ukuta imara wa Sudan ambao ulifanikiwa wa…