
Vita ya vigogo robo fainali BDL
LIGI ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), imefikia patamu baada ya timu vigogo nane kutinga robo fainali inayotarajia kuanza Agosti 23, mwaka huu katika Uwanja wa Donbosco, Upanga. Vigogo hao ni Dar City iliyomaliza ikiwa na pointi 30, Pazi (27), JKT (26), Stein Warriors (26), UDSM Outsiders (25), Savio (24), ABC (24) na…