
Mrithi wa Mligo Namungo afunguka
BAADA ya Namungo FC kuinasa saini ya beki wa kushoto wa KVZ, Ally Saleh Machupa kuziba nafasi iliyoachwa na Anthony Mligo, beki huyo mpya amefunguka matarajio aliyonayo katika maisha mapya Ligi Kuu Bara. Machupa anakuwa mchezaji wa pili kutoka KVZ kutua Namungo kipindi hiki cha usajili wa dirisha kubwa baada ya hivi karibuni kipa tegemeo Suleiman Abraham…