
Fadlu ni kazi tu huko Misri
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids amesema mazoezi anayoendelea kuyatoa katika kambi iliyopo nchini Misri yatampa picha ya wachezaji atakaoendelea kusalia nao na wale ambao watapewa mkono wa kwaheri. Fadlu ameliambia Mwanaspoti kwamba, bado hawajafunga usajili na endapo kukitokea mahitaji ya kutaka wachezaji wengine watafanya hivyo na kuachana na wale ambao hawaoni umuhimu wa kuendelea nao…