
Baresi avunja ukimya, apanga mkakati Mlandege
SIKU moja baada ya kutua Mlandege, kocha wa Abdallah Mohamed ‘Baresi’ amesema wana kazi kubwa ya kufanya kuipambania timu hiyo kufanya vizuri kimataifa. Baresi amejiunga na timu hiyo akiwa kocha huru baada ya kuachana na Mashujaa inayoshiriki Ligi Kuu Bara, akizungumza na Mwanaspoti alisema anayo furaha kujiunga na timu hiyo, lakini ana kazi kubwa ya…