Miaka 90 Yanga si mchezo
TANGU mwaka 2019, ambapo Mwenyekiti wa Yanga wakati huo Dkt. Mshindo Msolla alitekeleza Wiki ya Mwananchi kwa mara ya kwanza na kuwa na kilele chake kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa kwa burudani na mechi ya kirafiki, tayari imepita miaka sita na miezi minane. Kumbukumbu zinaonyesha kuwa tamasha la kwanza la Yanga lilianza kwa sare ya…