
Nyasebwa: Ushindani mwanza ni mkubwa
Kocha wa mchezo wa Kikapu Mkoa wa Mwanza, Benson Nyasebwa amesema ushindani wa ligi hiyo mkoani humo ni mkubwa. Nyasebwa aliliambia Mwanaspoti, ushindani huo unatokana na viwango vikubwa vinavyoonyeshwa na timu zote zinazoshiriki ligi hiyo. Wakati huo huo, Planet iliifunga Crossover kwa pointi 59-49 katika mchezo wa ligi ya mkoa wa Mwanza katika Uwanja wa…