
Mpole apewa kazi ya kuimaliza Singida Black Stars
KOCHA wa Pamba Jiji, Goran Kopunovic ameonyesha kuwa na matumaini na safu ya ushambuliaji inayongozwa na George Mpole licha ya kutofunga katika michezo mitatu iliyopita ya Ligi Kuu Bara. Mserbia huyo anaamini safu hiyo inaweza kuonyesha makucha leo Jumanne kwenye uwanja wa nyumbani wa CCM Kirumba, Mwanza itakapoikaribisha Singida Black Stars inayoongoza msimamo wa Ligi…