
Aussems bado hajaridhika Singida Black Stars
PAMOJA na Singida Blac Stars kuongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa sasa ikiwa pia ni moja ya timu yenye mabao mengi kwa sasa, lakini kocha wa timu hiyo, Patrick Aussems ameonyesha kutoridhika kabisa na kuwataka washambuliaji kubadilika na kutumia nafasi wanazopata watakapovaana na Pamba Jiji. Singida inatarajiwa kuvaana na Pamba kesho Jumanne kuanzia saa…