
Winga Mtanzania nje wiki moja Thailand
WINGA Mtanzania anayeichezea Hua Hin City FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Thailand, John Mgong’os amesema atakuwa nje ya uwanja kwa wiki akiuguza jeraha la paja. Nyota huyo alicheza kwa dakika zote 90 dhidi ya Hua Hin Maraleina ambapo timu yake ilifungwa bao 1-0 Septemba 08 ikiwa ni raundi za awali za michuano hiyo maarufu…