
Fadlu: Kijili anachangamoto inayohitaji muda kuisha
IKIWA imesalia saa chache kabla ya Simba kushuka kwenye Uwanja wa Juni 11, jijini Tripoli Libya kuvaana Al Ahli Tripoli, kocha wa kikosi hicho cha Msimbazi, Fadlu Davids amemtaja Kelvin Kijili akisema ni mmoja wa mabeki wa kulia wenye uwezo mkubwa, huku beki huyo akifunguka kwa Mwanaspoti. Simba ipo ugenini kuanzia saa 2:00 usiku kucheza…