Fanya yafuatayo kushinda na sloti ya Goddess of the Night kasino

  Historia Inasema kwamba Marekani iliwahi kukaliwa na Wahindi wekundu kabla yaw a Waafrika kuanza kupelekwa na kufanyishwa kazi mashambani na viwandani.  Kupitia kasino ya mtandaoni unaweza kujifunza mengi huku unatengeneza pesa, kwa kucheza mchezo unaoitwa Goddess of the Night. Jisajili na Meridianbet kubashiri kirahisi na kushinda. Goddess of the Night Kasino ya Mtandaoni Mchezo…

Read More

Goran aichimba mkwara Azam | Mwanaspoti

KOCHA wa Pamba Jiji, Goran Kopunovic hajaonja ushindi hata mmoja katika Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini ametamba kwa namna alivyokiandaa kikosi hicho, anaamini kabisa ataanza kuvuna pointi tatu za kwanza keshokutwa Jumamosi dhidi ya Azam FC, akisema wala hana presha na matokeo yaliyopita. Pamba iliyopanda Ligi Kuu msimu huu sambamba na KenGold ya Mbeya,…

Read More

Zayd arudi baada ya wiki nane

KIRAKA wa Azam FC, Yahya Zayd amerudi mdogo mdogo baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda wa wiki nane akiuguza majeraha ya goti. Akizungumza na Mwanaspoti, Daktari wa Azam FC, Mbaruku Mlinga alisema baada ya kukamilisha matibabu yake amemkabidhi kwa kocha wa viungo ili kumwangalia na kumjenga kimwili kabla ya kujiunga na wenzake chini…

Read More

Vipigo vyamvuruga Nkata Kagera Sugar

BAADA ya kipigo cha tatu mfululizo kwenye ligi, vimemvuruga Kocha wa Kagera Sugar, Paul Nkata akisema ubora mdogo wa wachezaji ndiyo sababu ya kushindwa kupata matokeo. Nkata amefunguka hayo baada ya kuambulia kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Tabora United na alisema timu yake haina ubora wa kushindana na timu pinzani. Akizungumza na Mwanaspoti, Nkata…

Read More

Mkosa aongoza kwa ufungaji | Mwanaspoti

KUKIWA kumesaliwa na mechi za raundi tatu kabla ya kukamilisha michezo 30 ya mzunguko wa pili wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BD), mchezaji Amin Mkosa wa timu ya Mchenga Stars anaongoza  kwa kufunga pointi 488. Katika chati za wafungaji vinara wa msimu huu kufikia sasa, Mkosa anafuatiwa na Jonas Mushi kutoka…

Read More

Mwana FA: Watanzania msiisuse Taifa Stars

NAIBU Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Hamis Mwinjuma “Mwana FA” amewaomba Watanzania kutoisusa timu yao ya Taifa Stars pindi inapokuwa inapata changamoto ya matokeo. Kauli ya kiongozi huyo imekuja kutokana na Watanzania kuonekana kukata tamaa baada ya Stars kutoka suluhu dhidi ya Ethiopia nyumbani katika mchezo wa kwanza wa kufuzu Afcon kabla ya kushinda…

Read More

ACT- Wazalendo kutumia msemo wa ‘Ubaya ubwela’ uchaguzi wagombea

Dar es Salaam. Kiongozi wa  ACT-Wazalendo, Dorothy Semu amesema chama hicho kitawateua wagombea makini na wasikivu watakaowania mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji, akiwaomba Watanzania kuwaunga mkono muda utakapofika. Semu ameeleza hayo leo Alhamisi Septemba 12, 2024 akihutubia wananchi wa  Kwa Mkonga wilayani Handeni mkoani Tanga katika mkutano wake wa hadhara…

Read More

MMESIKIA? Savio imeyatimba kwa Srelio

WAMEYATIMBA. Ndicho unachoweza kusema kwa timu ya kikapu ya Savio baada kuingia katika mfumo wa wakali wa kuangusha mibuyu, timu ya Srelio, na kula kichapo cha pointi 65-53 katika mchezo mkali wa Ligi ya Kikapu Dar es Salaam (BD) uliofanyika kwenye Uwanja wa Donbosco, Oysterbay jijini Dar es Salaam. Srelio imejenga heshima ya kuwa ‘wazee…

Read More

Jesca afunika kwa asisti | Mwanaspoti

DB Troncatti imebakiwa na michezo miwili ili ikamilishe michezo 30 ya mzunguko wa pili wa Ligi ya Kikapu (BD), huku mchezaji wa timu hiyo, Jesca Lenga akifunika kwa kutoa asisti 214. Nyota huyo anafuatiwa na Tukusubila Mwalusamba wa Tausi Royals aliyeasisti mara 135, huku Noela Renatus wa Vijana Queens akishika nafasi ya tatu asisti 103. …

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: KenGold wameamua kutuchekesha

KENGOLD ilitikisa sana katika Ligi ya Championship msimu uliopita hadi ikafanikiwa kupanda kibabe katika Ligi Kuu Bara msimu huu. Kule Championship ilionekana kubebwa zaidi na nguvu ya fedha na ikaonekana kama ingekuja kuleta ushindani katika Ligi Kuu kwa vile wengi waliamini hali ya kiuchumi kwao haiwezi kuwa tatizo. Hata hivyo, ilipoanza tu maandalizi ya Ligi…

Read More