
Kocha Mlandege afichua dili ya usajili wa Yakoub Msimbazi
WAKATI ikitajwa kuwa kipa namba moja wa JKT Tanzania na timu ya taifa, Taifa Stars, Yacoub Suleiman kuwa kamalizana na Simba kocha aliyemuibua nyota huyo, Hassan Ramadhan Hamis amekiri kuwepo kwa mazungumzo ya dili hilo. Hata hivyo, amesema kuwepo bado hajui kinachoendelea, ila kipa huyo amehakikishiwa nafasi na Fadlu Davids endapo mambo yataenda vizuri. Akizungumza…