
ARFA yajitosa Mbuni, TMA Stars
WAKATI Ligi ya Championship ikitazamiwa kuanza mwishoni kwa mwezi huu, Chama cha Soka Mkoa wa Arusha (ARFA) kimeweka wazi kimejipanga kutoa sapoti ya kutosha kwa timu za Mbuni na TMA Stars ili zifanye vyema na kupanda daraja. Mara ya mwisho kwa Arusha kuwa na timu ya Ligi Kuu ilikuwa ni mwaka 2014, miaka 10 iliyopita,…