
Kagoma Simba, Lawi Coastal mchongo mzima upo hivi!
BADO mjadala mdomoni kwa mashabiki wa Soka hususani wale Simba, Yanga na Coastal ni hatma ya wachezaji wawili tu. Yusuf Kagoma na Lameck Lawi. Lakini Mwanaspoti limepata habari za uhakika kabisa kutoka ndani kwamba muda wowote kuanzia sasa zinaweza kutoka habari za kushtua kwa pande zote tatu na kuna ambaye anaweza kupoteza Mwanaspoti limejiridhisha kutoka…