
Daraja la Simba, Yanga Caf
Raundi ya kwanza ya mashindano ya klabu Afrika itaanza mwishoni mwa wiki hii ambapo Tanzania itawakilishwa na timu mbili ambazo ni Yanga na Simba na zote zitaanzia ugenini katika mechi ya kwanza na wiki moja baadaye kucheza nyumbani. Baada ya kuitupa nje Vital’O ya Burundi katika raundi ya kwanza kwa ushindi mnono wa mabao 10-0…